Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Pole, naona una feel guilty kuspend everything, it's time unajiuliza kama ilikuwa worth it, the way ulivyo in denial unaona ni sawa kuspend everything kwa miuno uliyopata. Hata walevi huwaga wanajiulizaga hivyo hivyo lol