Ili ijae 10 kwanza ndiyo maana nikaomba wataalamu wanipe mawazoMuhimu kuwa focused kwenye lengo lako,omba Mungu wako kwa Imani yako na epuka sana hawa wakuitwa “mbona ya kutolea hujaweka"?
All in all usisubiri pesa ijae hiyo hiyo uliyo nayo ingia nayo site itakayokuja itafanya vitu vingine.
Good luck.
Huwezi kuwapa vipi sasa mkuu wakati wao ndiyo wenye wazo lao?kumbuka nao walikaa darasani ili wanachokifanya siku moja waje waone matunda yake.Ili ijae 10 kwanza ndiyo maana nikaomba wataalamu wanipe mawazo
Wenye hiyo ramani wameniambia ramani na kotesheni sh laki 3 kweli siwez kuwapa
Thank youHuwezi kuwapa vipi sasa mkuu wakati wao ndiyo wenye wazo lao?kumbuka nao walikaa darasani ili wanachokifanya siku moja waje waone matunda yake.
Elewana nao biashara bongo hakuna kisichopungua,kuhusu kusubiri hela ijae nina experience na ninachokwambia ujenzi wetu huu wa kimaskini hauna hela kujaa unaanza na uliyo nayo mengine unaomba Mungu mbele kwa mbele
Asante.Kila kitu kinawezekana mkuu,tena bora yako angalau una hata wazo..kuna wengine hata hawafikirii..kuhusu hiyo ramani unaweza kuboresha kidogo hasa vyumba.
Asante bro
Yah mkuu inapendeza sana.
Amen [emoji120]Yah mkuu inapendeza sana.
Omba Mungu na pambana mwanzo mzuri sana huo safari ni hatua.
Ungesema na hizo complication mkuu ingesaidia wengiHizo nyumba zina complication nyingi lakini komaa, pia ongeza na mawazo yako kwenye ramani utakayopewa
Freedom of speech.mkuu naona bado uko under 30 nakushauri piga chini wazo la kujenga pesa uliyonayo wekeza kwenye crypto hasa kwenye hii hype mpya ya move to earn cryptos kama GMT,GENE nk utakuja kunishukuru ndani ya miezi 6 tu
Tahadhali:haya madude sio ya kukurupukia sana hasa kama huna uelewa nayo yasije yakakukuta kama yale ya wale wadanganyika walioahidiwa kudownload pesa na mjaluo ONTARIO