Nimedhamiria Huu mwaka najenga

Nimedhamiria Huu mwaka najenga

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
359
Reaction score
613
Niko under 30 nimechoka kupanga, nina kipato cha kati ila hakipo constant kulingana na ninachokifanya.
Nimedhamiria kujenga contemporary ya room 2 jiko na sebule bila dinning.
Kianzio milioni 10 ikitimia tu naanza

Nyuma hiyo hapo
Wataalamu nipeni mchanganuo.
Asante

baris_group-28042022-0004.jpg

baris_group-28042022-0017.jpg

baris_group-28042022-0019.jpg
 
Muhimu kuwa focused kwenye lengo lako,omba Mungu wako kwa Imani yako na epuka sana hawa wakuitwa “mbona ya kutolea hujaweka"?

All in all usisubiri pesa ijae hiyo hiyo uliyo nayo ingia nayo site itakayokuja itafanya vitu vingine.

Good luck.
 
Ili ijae 10 kwanza ndiyo maana nikaomba wataalamu wanipe mawazo
Wenye hiyo ramani wameniambia ramani na kotesheni sh laki 3 kweli siwez kuwapa
 
Ili ijae 10 kwanza ndiyo maana nikaomba wataalamu wanipe mawazo
Wenye hiyo ramani wameniambia ramani na kotesheni sh laki 3 kweli siwez kuwapa
Huwezi kuwapa vipi sasa mkuu wakati wao ndiyo wenye wazo lao?kumbuka nao walikaa darasani ili wanachokifanya siku moja waje waone matunda yake.

Elewana nao biashara bongo hakuna kisichopungua,kuhusu kusubiri hela ijae nina experience na ninachokwambia ujenzi wetu huu wa kimaskini hauna kusubiri hela kujaa unaanza na uliyo nayo mengine unaomba Mungu mbele kwa mbele
 
Huwezi kuwapa vipi sasa mkuu wakati wao ndiyo wenye wazo lao?kumbuka nao walikaa darasani ili wanachokifanya siku moja waje waone matunda yake.

Elewana nao biashara bongo hakuna kisichopungua,kuhusu kusubiri hela ijae nina experience na ninachokwambia ujenzi wetu huu wa kimaskini hauna hela kujaa unaanza na uliyo nayo mengine unaomba Mungu mbele kwa mbele
Thank you
I believe in planning though future is uncertain
 
Kila kitu kinawezekana mkuu,tena bora yako angalau una hata wazo..kuna wengine hata hawafikirii..kuhusu hiyo ramani unaweza kuboresha kidogo hasa vyumba.
Asante.
Najenga hivi kwa muda najua mid 40 au kabla nitajenga tena
 
mkuu naona bado uko under 30 nakushauri piga chini wazo la kujenga pesa uliyonayo wekeza kwenye crypto hasa kwenye hii hype mpya ya move to earn cryptos kama GMT,GENE nk utakuja kunishukuru ndani ya miezi 6 tu

Tahadhali:haya madude sio ya kukurupukia sana hasa kama huna uelewa nayo yasije yakakukuta kama yale ya wale wadanganyika walioahidiwa kudownload pesa na mjaluo ONTARIO
 
Freedom of speech.
Asante
 
Back
Top Bottom