Nimedhamiria Huu mwaka najenga

Nimedhamiria Huu mwaka najenga

Hiyo ya kulipa day kwa fundi ni kama daily uko site kusimamia Kazi mwenyewe vinginevyo hakuna kipimo maalumu cha kwamba leo utajenga hadi hapa.

Watu sasa tumetoboa projects kadhaa effectively kwa style hyo (Goba Areas). Tunaenda site mapema asubuhi na jioni pia tunapanga kazi na kutoa maagizo site mtu 3 tu….Fundi na Vibarua Wawili au Sumtyms Watatu na Ujenzi Unaenda Bila Shida Na unakuta una save hela kibao.

Uraiani kuna nguvu ngazi nyingi sanaa alaf bei chee sanaa na fundi anajiona don maana kazi yote anakimbiza mwenyewe (unacheza na akili yake tu) and u end up saving a lot of money effectively.

Mfano mimi nyumba yangu ya mwisho kupiga plasta ilikua kazi ya watu wawili tu fundi na kibarua nyumba yote 3 bedroom, dining, living room, kitchen na store na jiko la nnje…ilikua kazi ya siku 8 unajua nilitumia bei gani ?? Nyumba nzima ndani na nnje. Na watu huko sijui wanapigwa mabei gani ??

Akili Kichwani.

Mimi plan yangu ni kuwa strongly based in Goba nishaona potential ya haya maneneo miaka ya mbele sasa nina team ya vijana wangu kama wa 5 hivi yani hawa siwatupi labda wazingue wenyewe. Hadi Fundi Sibadilishi.

Huyo fundi ujenzi kichwa sanaa hadi kupaua anajua, blandering, tiles na bomba za choo zote anaweka yeye……style ni ile ile tu ya kulipana kazi yote nimemuambia anafanya mwenyewe….umeme, welding na decor ndio nachukua mtu mwingine nao kuna namna nishawaset kisaikolojia mwanzo hawakunisoma vizuri.

Na sasa nikuchane kama madirisha ya welding nenda manzese mashine kule kanunue ready made vipimo vyako tu either 6 x 6 au 5 x 5 na baadae unayaremba vizuri tu yote yanafanana bei moja chee sanaa mnooo…..nachukua pick up ya mzee wangu natia wese napeleka site na drive mwenyewe…na kijana wangu wa site.

Na mjue hizi idea inabdi mnilipe mjue maana nawapa maisha basi tu HaHaHa [emoji1787]
 
Hujasema hio plaster ndani nyumba nzima umetumia bei gani? Grill moja unapata kwa bei gani? Tuwekee bei tuone tunavyopigwa.
 
Hujasema hio plaster ndani nyumba nzima umetumia bei gani? Grill moja unapata kwa bei gani? Tuwekee bei tuone tunavyopigwa.

Plasta mafundi kama nlivyosema awali nawalipa day job 20,000 - 25,000 (kama ni 20,000 nimempa fundi namtia 2000 ya nauli hakai mbali na goba) ina range humo siku zingine nampa 25,000

Kibarua alikua anakula 15,000 anaishi goba huko huko…..vijana wapo wa kutosha sana and cheap labor….na wanakuwa na adabu cz mtu ana uhakika wa kila siku kula 15,000 sibadilishi vijana wengine wa akiba nlikua nao wawili incase wakiwa na udhuru kikubwa wawe waaminifu tu.

Ma grill ya madirisha chuma tupu sio dirisha za mbao na nondo (80,000 - 90,000) manzese tu hapo
 
Plasta mafundi kama nlivyosema awali nawalip day job 20,000 - 25,000 (kama ni 20,000 nimempa fundi namtia 2000 ya nauli hakai mbali na goba) ina range humo siku zingine nampa 25,000

Kibarua alikua anakula 15,000 anaishi goba huko huko…..vijana wapo wa kutosha sana and cheap labor….na wanakuwa na adabu cz mtu ana uhakika wa kila siku kula 15,000 sinadilishi kikubwa wawe waaminifu tu.

Ma grill ya madirisha chuma tupu sio dirisha z mbao na nondo (80,000 - 90,000)
Fundi 8days 200,000
Kibarua 8days 120,000
Total 300,000
Haina tofauti na rate ya 70,000 per room ambapo nyumba ya kawaida kama hio yako nawapa 300,000/-
Grills nimenunua 100,000 bila kujali size
 
Fundi 8days 200,000
Kibarua 8days 120,000
Total 300,000
Haina tofauti na rate ya 70,000 per room ambapo nyumba ya kawaida kama hio yako nawapa 300,000/-
Grills nimenunua 100,000 bila kujali size

Safi, Basi nawe uko exposed kuna watu humu wanapigwa mahela mengi unasoma posts unacheka tu behind the screen.

Grills umenunua wapi ??

Hyo rate yako ya 70K kwa vyumba vyote nlivyotaja hapo inazidi na sumtyms huenda ukapigwa cement ujue unaeza ukawa unalipa bei ndogo as labor charge ila ukiwa hujui mambo yalivyo wanakuliza materials. Mimi nanunua kidogo kidogo na na monitor materials zote 24 / 7 /365.
 
Kuna fundi amenitengenezea. Kuhusu material huwa nanunua mwenyewe kiasi kinachotosha siku hio,nasimamia mwanzo mwisho
 
Tumefanana kila kitu hadi mpango wa ramani ya nyumba hapa nina laki 7 mimi yangu vyumba 2 kimoja self choo cha public jiko dining stoo naweka under ground maana najenga msingi mrefu sababu ya maji.

Fundi ni mm mwenyewe wa kila kitu nitakua na mafundi wa day waka usafiri ninao power tiller bati 54 zinatosha najenga temporary
 
Ramani kama hyo ndogo na simple sitoi hata sumni kwanza kuiona tu nishajua najengaje…..namtafuta fundi ujenzi mzoefu tunayajenga…..kulingana na kiwanja changu

Mi mpaka nilipie ramani ya nyumba hyo project ni kubwa chances ni ghorofa.

Hyo laki 3 weka akiba ya kuwalipa vijana kuchimba msingi

Ngoja nikufundishe Kijana
Kwa kuanza

Weka hela ya Tofali - 1,000 au 1500 (1.5 M bargain akupunguzie hata tsh 20 kwa tofali si haba)

Gharama za Msingi

(Tafuta Vijana Watatu wa kwenda nao kwenye ujenzi wako mtaani choka mbaya hela hamna Vibarua walipe kwa day 15,000 hadi 20,000 depends wawe chini ya usimamizi wa fundi akiwaelekeze msingi waandae vipi na mengine as they go)

Fundi kuset vipimo nyumba ndogo kama hyo unamtia posho tu….haizidi 20,000 (Achana kabisa na kuleta utitiri wa mafundi site, fundi weka mmoja tu nenda nae mdogo mdogo cz nyumba hyo ndogo sana hata ingekua ya vyumba vingi mimi fundi naweka mmoja tu naenda nae sawa wakatae wapambe kwenye ujenzi wako.

Kazi ya kuchimba msingi huo in two days na uhakika umeisha.

Weka gharama za kokoto nyeusi atleast fuso 1 ijae sio chini ya cubic meter 6 maana kokoto zina mambo mengi kwa msingi tumia nyeusi baadae kwenye floor ndani na nnje unaeza tumia za ubuyu / nyekundu cz hazina mambo mengi alaf ni cheaper alaf zinakua nyingi chimbo lipo karibu wazo tu hapo ibuka kule jenga connection nunua from the source bei chee tu.

Nguzo, lenta na mikanda tumia Kokoto nyeusi

Weka Lorry 2 kubwa za mchanga hapo site

Na nondo ton 1 za 12 mm za kuanzia (mikanda, nguzo na lenta tumia nondo hapa usiweke kabisa ubahili kama unataka kitu quality na cha kudumu kwa nyumba ya chini nondo 12 mm ndio zinatumika sana almost kila sehem)

Cement mifuko 100 au 50 ya kuanzia

Fundi Mkomalie umlipe kwa day job i.e. 20,000 - 25,000 msomeshe muambie ujenzi wote anafanya yeye wasaidizi wake hao vibarua unawalipa wewe kwa day so asiwe na pressure na kwamba huna haraka na hutaki kuleta mafundi wengine (mafundi wengi ndio sumu kubwa kwenye ujenzi maana watakua wanashindana na kukomoana mwishowe waharibu ujenzi wako labda fani zao ziwe tofauti)

Mbao za mikanda na nguzo utakodi ni tsh 2000 per piece (for 3 days)

Nunua tank la maji la litre 1000 au 2000 kwa ajili ya maji ya ujenzi.

Kwa machache fanya haya nayokuambia uone kama huto otesha huo mjengo….simamia site kwa ukaribu na usimbane sana fundi kwenye hela kiasi akawa hayuko comfortable hawezi kataa offer yako cz vibarua unawalipa wewe.

Chaap tu msingi unaota huo….mimi kwenye ujenzi mpaka mtu anidanganye saa hivi amejipanga haswa….hata ukitaka ramani za maghorofa mimi professionals ninao nawajua walimu wa chuo kikuu ardhi hapo wapo fair sana nakulink nao hawana kabisa mabei ya tamaa yet ni experienced professionals incase kama project ni kubwa (ghorofa au some big complicated house hyo yako haina mambo mengi)

Wewe anza ujenzi uta enjoy sana as u go trust me na utajifunza mengi sana usiwe mvivu tu kufatilia vitu na issues za site yako.

All The Best.
Shukrani sana
 
mkuu naona bado uko under 30 nakushauri piga chini wazo la kujenga pesa uliyonayo wekeza kwenye crypto hasa kwenye hii hype mpya ya move to earn cryptos kama GMT,GENE nk utakuja kunishukuru ndani ya miezi 6 tu

Tahadhali:haya madude sio ya kukurupukia sana hasa kama huna uelewa nayo yasije yakakukuta kama yale ya wale wadanganyika walioahidiwa kudownload pesa na mjaluo ONTARIO
Usimdanganye, mshikaji wangu kapoteza huko usd 11000 na utaalam wake
 
Safi sana
Mm leo tarehe 28-4-2022
Niko saiti naseti profile
View attachment 2204035
Update leo 15-6-2022
Nilipo fikia
Screenshot_20220615-161459_Gallery.jpg
 
Hizi nyumba zinamudu vizuri masika ikiwa utapata mafundi wazuri japo miongoni mwa CHANGAMOTO ni upakaji wa rangi baada ya muda flani maana kuta zinakutana na maji kuanzia juu, pia ikiezekwa vibaya kwenye junction ya bati na ukuta nyumba inaanza kuvuja.
Ungesema na hizo complication mkuu ingesaidia wengi
 
Back
Top Bottom