Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Hongera sana tena sana Mkuu, uzuri wa ujenzi kadri unavyojenga unapata amsha amsha ya kufikia hatua nyingine...... hatua inayofata ya kupaua ni ngumu kiaina ila utatoboa tu Hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kiongozi. Lakini hapo ni kozi 6 mkuu.tatu chini tatu juu ndio zina onekana hapoHongera sana mkuu,ila huo msingi ungekuwa umepanda juu ingekuwa poa sana,
Hahahaaa!! Kweli kabisa ulicho sema unakua n mizuka kumaliziaHongera sana tena sana Mkuu, uzuri wa ujenzi kadri unavyojenga unapata amsha amsha ya kufikia hatua nyingine...... hatua inayofata ya kupaua ni ngumu kiaina ila utatoboa tu Hongera sana
Utatoboa tu usijali Mkuu, mdogo mdogo tuHahahaaa!! Kweli kabisa ulicho sema unakua n mizuka kumalizia