IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,675
Habarini wakuu.
Kuna mdada mmoja full fake yaani naamanisha rangi yake ni bandia, kucha bandia, shepu bandia, nywele bandia, kope bandia na sauti yake anajifanya ni Mmarekani.
Alichoniudhi ni baada ya kumuaprochi eti anasema mie sio type yake kisa yeye ni mrembo (wa dukani).
Anadai sina hadhi ya kuwa nae. Nikijiangalia mie ni Natural hata mafuta sipakagi. Nikioga tu najifuta navaa nguo nasepa zangu kitaa. Kwa kauli yake mnadhani nimjibuje ili na yeye nimdhalilishe?
Karibuni