shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,070
Wakuu kwa wiki nzima nimekuwa na tatizo kwenye njia ya haja ndogo,kuna muwasho fulani hivi na kama moto unawaka kwa ndani.Nimecheck U.T.I hakuna,STDs hakuna.Sasa Doctor kaniandikia kesho alfajiri nikafanyiwe hiyo X-ray(Binafsi sijajajua ni x-ray hii hii ya kawaida au?),maana nimeambiwa nisile wala kunywa kitu kabla sijafanyiwa hiyo kitu.
Sasa wadau,kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hilo anipe a b c ya hilo ili nijiandae kisaikolojia,maana nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilifanyiwa kipimo flani hivi unaingiziwa tumboni kupitia kinywani,kinauma hakuna mfano.Naombeni tujuzane kama kuna tofauti yoyote kati ya hii na ile x-ray tuliyoizoea.
Ahsanteni!