Nimeelekezwa nikafanyiwe X-ray ya Urethra

shaks001

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,246
Reaction score
1,070
Wakuu kwa wiki nzima nimekuwa na tatizo kwenye njia ya haja ndogo,kuna muwasho fulani hivi na kama moto unawaka kwa ndani.Nimecheck U.T.I hakuna,STDs hakuna.Sasa Doctor kaniandikia kesho alfajiri nikafanyiwe hiyo X-ray(Binafsi sijajajua ni x-ray hii hii ya kawaida au?),maana nimeambiwa nisile wala kunywa kitu kabla sijafanyiwa hiyo kitu.

Sasa wadau,kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hilo anipe a b c ya hilo ili nijiandae kisaikolojia,maana nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilifanyiwa kipimo flani hivi unaingiziwa tumboni kupitia kinywani,kinauma hakuna mfano.Naombeni tujuzane kama kuna tofauti yoyote kati ya hii na ile x-ray tuliyoizoea.

Ahsanteni!
 
Asee pole Ila condom nazo znachangia maumivi ya ndani
 
How long have you been experiencing the situation?? Ulifanya urethral swab kwa ajili ya culturing?? Umemuona Urologist??
 
  • Thanks
Reactions: MC7

pole mkuu kwa majanga yanayokupata lakin x-ray ya urethra mmh sijawah kuisikia sasa hapa fanya kitu kimoja cha msingi kuna prof mmoja wa urology yupo dar( sijajua upo wap) ni wa ukweli sana na anaweza kukupa msaada nakushauri ukamuone yule na kama utahitaji msaada zaid usisite kuni PM
 
Mkuu iyo kitu usiombee ni balaa,,,
Wanakuingizia fluid fulani ivi kwenye uume kwa njia ya bomba kubwa la sindano,,unatakiwa usiwe na mkojo kwani iyo fluid inaingia hadi kwenye kibofu cha mkojo inajazwa kisha unapigwa ainafulani ivi ya xray inayoonesha mfumo mzima wa mkojo...!
Balaa lake ni baada ya iyo xray ile fluid huwa haitoki yote hivyo jiandae kwa maumivu makali wakati wa kukojoa ya siku kama saba ivi...!
Kwa ufupi iyo kitu inauma na ina mateso sana ila inakupa picha halisi ya mfumo wako wa mkojo..!
Ila unaweza kwemda Tumaini hosp muone dokta Yongolo kabla hujafanya iyo kitu anaweza kukushauri tofauti..!

Pole sana Mkuu..!
 
Mmh!nashukuru mkuu kama machale yalinicheza,sikwenda.Kuna mdau flani humu naye amenielekeza niende Tumaini.Ahsante sana,haya mambo ya kuchokonolewa kwenye tundu la mkojo sio mazuri kabisa.
 
Usipo pona Hospitali nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia na utapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Ebu ni PM. Mi nilipatwa na ugonjwa ksma huo. Unaitwa URETHRAL STRICTURE. Naomba tuwasiliane nikupe uzoefu tiba nzuri
 
mkali ulikua unakula urumbo nn?just thinkin[emoji15] [emoji15] ni ngumu kaka
 
Back
Top Bottom