Sababu ya mfanyakazi anaye hustle 24/7 kula 400k monthly huku Boss aliyekaa tu anakula 5M+,
oa wakuu wamiliki wa biashara wanatake risk! Yaani anguko lolote ni lake, we chako kiko standard, ko wakuu Milikini biashara na nyie mjionee 🤣 hizo stress

😅 biashara zetu ma under cover, Kuna mshenzi naona kama anaelekea kunitapel ndo maana nimeandika hii post, ni famous kiasi vp nikitembelee kituo? Ni tzs 230 nilimtumia