Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
Sababu ya mfanyakazi anaye hustle 24/7 kula 400k monthly huku Boss aliyekaa tu anakula 5M+,
oa wakuu wamiliki wa biashara wanatake risk! Yaani anguko lolote ni lake, we chako kiko standard, ko wakuu Milikini biashara na nyie mjionee 𤣠hizo stress