Nimeelewa maana ya karma kupitia siasa za Tanzania

Nimeelewa maana ya karma kupitia siasa za Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria.

James Mbatia
Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
 
ALBERT BASHITE
Huyu alitumiwa sana na magufuli kuonea watu leo hii anakimbia mjini maisha yanamkataa na jamii imemtenga kutokana na uovu wake.
 
Back
Top Bottom