Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Sep 24, 2022 #1 Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria. James Mbatia Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria. James Mbatia Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Sep 24, 2022 Thread starter #2 ALBERT BASHITE Huyu alitumiwa sana na magufuli kuonea watu leo hii anakimbia mjini maisha yanamkataa na jamii imemtenga kutokana na uovu wake.
ALBERT BASHITE Huyu alitumiwa sana na magufuli kuonea watu leo hii anakimbia mjini maisha yanamkataa na jamii imemtenga kutokana na uovu wake.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 24, 2022 #3 Tapaiko Namkeho said: ALBERT BASHITE Huyu alitumiwa sana na magufuli kuonea watu leo hii anakimbia mjini maisha yanamkataa na jamii imemtenga kutokana na uovu wake. Click to expand... Mama TANZANIA
Tapaiko Namkeho said: ALBERT BASHITE Huyu alitumiwa sana na magufuli kuonea watu leo hii anakimbia mjini maisha yanamkataa na jamii imemtenga kutokana na uovu wake. Click to expand... Mama TANZANIA