Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
......ya magimbi na njugu mawe...Hii ni iftari kabisa.
Kwahiyo we ni Mganga? Maana naona kama ndo unatoa ushauri!Achana na wanawake kijana Wangu, wanawake wapo wengi sana, Haina haja ya kumloga mwanamke ila tafuta hela achana na mambo ya wanawake komaaa na kutafuta hela wanawake wapo wengi, na wewe bado ni kijana mdogo.
Baada ya hapo nikamshukuru sana huyo nikajikataaa.
Oya ndugu zangu achaneni na wanawake wekezeni kwenye kutafuta hela
Kwa hiyo mtu akirogwa mapenzi hawezi kugombana na aliyemroga ?!!Umenikumbusha miaka ya 2002 nilikuwa namsindikiza mama mdogo Kwa mganga Kijiji jirani Ili apate dawa ya kumtuliza Mme wake.
Siku zingine tulikuwa tukienda tunakuta shwari tu. Basi hiyo siku bana tukakuta ungomvi wa mganga na mke wake mimi nilikuwa mdogo under 14 yrs hivyo mama akaanza kusuruhisha ungomvi huo badae wakaja na watu wengine wakiume wakija kupata huduma .
Tangia hapo nikikumbuka naapa hakuna dawa ya mapenzi labda umfanye awe kilaza yaani limbwata tu
Mganga ni mganga tu na hawezi kumfundisha mke wake mambo yote. Nimeishiwa Kwa mjomba alikuwa mganga nikaenda Kwa shemeji nae alikuwa mganga hivyo najua vingi mkuu.Kwa hiyo mtu akirogwa mapenzi hawezi kugombana na aliyemroga ?!!
Haya mkuu...
BTW mke wa mganga ndiye msaidizi mkuu kilingeni....anazijua dawa na kutayarisha kila hatua za nyungu n.k....
Na huwa wanaroga pia.....
Kweli kakuchana sawia!Achana na wanawake kijana Wangu, wanawake wapo wengi sana, Haina haja ya kumloga mwanamke ila tafuta hela achana na mambo ya wanawake komaaa na kutafuta hela wanawake wapo wengi, na wewe bado ni kijana mdogo.
Baada ya hapo nikamshukuru sana huyo nikajikataaa.
Oya ndugu zangu achaneni na wanawake wekezeni kwenye kutafuta hela
...na hakuna mganga anayejua mambo yote....Mganga ni mganga tu na hawezi kumfundisha mke wake mambo yote. Nimeishiwa Kwa mjomba alikuwa mganga nikaenda Kwa shemeji nae alikuwa mganga hivyo najua vingi mkuu.
Ni wachache sana wanaujua
Hii chai wala sio ya kunywea kwenye iftari. Hii inafaa kwenye FUTALI (Mihogo mihogo michungu tena iliyoungua)chai imekuja muda muafaka kabisa...