Pia aanze kutumia suppliments za Omega 3. Zitamsaidia kuamsha akili na kumbukumbuPunguza madeni mkuu...... Ndio yana tabia hizo.
😂 mkuu punguza mawazoKama wiki mbili hivi zimepita nilifika ofisini kwa mtu nikawakuta watu wazima wawili baada ya kuwasalimia mimi nikaitikia marahaba.
Mbonaa kama ndo wale wa kupokea simu afu unabisha hodiiiiii badala ya halooo.... 😂😂😂😂😂Hii hali sio maramoja imekuwa ikinitokea Mara kadha ya kusahau vitu sasa leo nikaenda mgahawani kula baada ya kumaliza kula nikarudi zangu ofisini na mguu.
Baada ya kufika ofisini ndo nagundua kwamba nimeisahau nilipokuwa nakula sasa ikabidi niirudie.
Kama wiki mbili hivi zimepita nilifika ofisini kwa mtu nikawakuta watu wazima wawili baada ya kuwasalimia mimi nikaitikia marahaba.
Wale wazee wakacheka sana na kuniambia ndo ukubwa ulivo.
Zipoje hizo
Hawezi kupiga picha maana aliacha mikono akarudi na miguuUmerudi na mguu😂 weka picha tuuone
🤣🤣🤣View attachment 3060837
Disclaimer:
Mimi siyo daktari. Kamuone dr wako kwa ushauri juu ya tatizo lako