[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuandikie kupitia info@itv.co.tz
Mkuu umetisha,nadhan Jean yako na unamjua vilivoAnakaa mikocheni uswazi
Jinsi ya kufika
Popote unapotokea itafute kairuki hospital
Ulizia mtaa wa kwenda geza ulole...hapo uliza ofisi ya mtaa ukiiona
Ambaa na kinjia hiko ukipita mitaa hiyo ukimuulizia unampata....
Kazi kwako ofisa
Hahhaahahahhahahatuandikie kupitia info@itv.co.tz
Njia yangu hiyo nikipita namkuta anabwabwaja tu hapa na paleakisubiria bodaboda imchukueMkuu umetisha,nadhan Jean yako na unamjua vilivo
Ahsante chief,,, tatizo niko mkoani ka namba kangesaidia sanaAnakaa mikocheni uswazi
Jinsi ya kufika
Popote unapotokea itafute kairuki hospital
Ulizia mtaa wa kwenda geza ulole...hapo uliza ofisi ya mtaa ukiiona
Ambaa na kinjia hiko ukipita mitaa hiyo ukimuulizia unampata....
Kazi kwako ofisa
Anayetafutwa ni mama si mtoto[emoji16]Huyu si katoka kujifungua mtoto mdogo juzi hata mtoto hajaacha kunyonya????