Nimefall in love na safina wa mizengwe

Nimefall in love na safina wa mizengwe

Mugare

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
669
Reaction score
846
Habari!…

wazungu husema love is blind na huota popote hata majini,, nimetokea kumpenda huyu dada anaeigiza vichekesho vya mizengwe kiukweli kabisa
yani kila kunapokucha anazidi kupendeza na kishundu nacho kinakua tu!…
Kiukweli she makes me say halleluyah, nisaidieni namna ya kumpata she'z killing me.
 
Anakaa mikocheni uswazi
Jinsi ya kufika
Popote unapotokea itafute kairuki hospital
Ulizia mtaa wa kwenda geza ulole...hapo uliza ofisi ya mtaa ukiiona
Ambaa na kinjia hiko ukipita mitaa hiyo ukimuulizia unampata....
Kazi kwako ofisa
 
Mkuu umetisha,nadhan Jean yako na unamjua vilivo
 
Anakaa mikocheni uswazi
Jinsi ya kufika
Popote unapotokea itafute kairuki hospital
Ulizia mtaa wa kwenda geza ulole...hapo uliza ofisi ya mtaa ukiiona
Ambaa na kinjia hiko ukipita mitaa hiyo ukimuulizia unampata....
Kazi kwako ofisa
Ahsante chief,,, tatizo niko mkoani ka namba kangesaidia sana
 
Huyu si katoka kujifungua mtoto mdogo juzi hata mtoto hajaacha kunyonya????
 
Weka picha yake tumwone... Maana unaposema safina, wenzio tunapata picha ya chombo cha usafiri wa majini
 
Back
Top Bottom