Nimefanikiwa kufungua online radio

Nimefanikiwa kufungua online radio

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
850
Reaction score
772
Habari wanaJF, naamini ni wazima

Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk

Maana pesa najichanga ili niweze kusajili TCRA lakini kwa wakati huu naanza naomba kama kuna mtu atakuwa na laptop ndogo tu anisaidie, hata mic ndogo tu kusudi niendelee kutumia katika kueneza injili

Radio inapata wasikilizaji hadi 500 kwa wakati mmoja na wasikilizaji hadi elfu 40,000 kwa siku kwa mwezi ni zaidi ya milion 1.

Radio ya Tzgospel Radio inajiunga na TBC Taifa kwenye mfululizo wa taarifa ya habari kila wakati na pamoja na dw swahili ila dw tunakatisha ulimwengu habari pekee wastani wa dakika 10 sio lisaa lizima



IMG_20220614_185559_183.jpg


unaweza kunishauri 0757560345
View attachment 2420338
 

Attachments

  • png_20220522_114731_0000.png
    png_20220522_114731_0000.png
    6.4 KB · Views: 52
Mnaweza kusikiliza hapa Tzgospel
bahati nzuri nimechaguliwa kwenye award ya tanzania emerging youth award 2022 itafanyika tarehe 27 aliyepo nyuma ya kiti cha waziri doroth gwajima ndio mwazilishi wa Tzgospel radio waziri kafurahi kuona namna radio yetu inafanya kazi amewaelekeza tcra kunisaidi sijui itakuwaje nlakini mi bado naendelea kumuomba MUNGU kila wakati kwa sasa inabidi tuingie kwenye kingamuzi wazo lilikuwa ni radio iingie kwenye kingamuzi lakini kwa sasa radio yetu na tv inabidi viingie kwenye vingamuzi asante kwa mdau jf amejitolea kuhakikisha nafanikiwa kwenye ilo. anasema tv tutawasha
IMG_20220826_215503_012.jpg
 
Aise nimeisikiliza umeupiga mwingi sana hongera sana.

Ushauri kama umeweza kufikia hatua hii kwa kupambana mwenyewe usibadilishe mindset yako na kuanza kuombaomba misaada sijui ya vifaa, nenda taratibu as the time goes utafika sehemu nzuri.

Hatua hii ni kubwa, endelea kupambana kijana.

Only Time- Enya

Aquila non capit muscas!
 
Hongera sana, imekugharimu kama shilingi ngapi kukamilisha huo mpango hadi hapo ulipo.m

Ushauri mzuri sana, endelee kupambana watajitokeza tu wadau.
mmm
Aise nimeisikiliza umeupiga mwingi sana hongera sana.

Ushauri kama umeweza kufikia hatua hii kwa kupambana mwenyewe usibadilishe mindset yako na kuanza kuombaomba misaada sijui ya vifaa, nenda taratibu as the time goes utafika sehemu nzuri.

Hatua hii ni kubwa, endelea kupambana kijana.

Only Time- Enya

Aquila non capit muscas!
Sawa kaka asante kwa ushari wako lakini nilitamani kupata sapoti ili niweze kufikia lengo kwa wakati peke yangu tena siwezi nahitaji support yenu
 
Hongera sana, imekugharimu kama shilingi ngapi kukamilisha huo mpango hadi hapo ulipo.
kuna mwana jf aliniambia milion 1 nikabidi nianze kujifunza pole pole tokea 2017 nimefanikiwa 2019 lakini sikuweza kufungua maana magu alizuia mwaka jana nikaanza kufungua mda wingi nilitumia kusajili nchi zote dunia na bado naendelea kusajili kwenye kila apps ya kusikilizia radio
 
AnA kuchezesha mchongo pesa ama vuna Mihela kwa wasikilizaji wako, hahahahah
 
AnA kuchezesha mchongo pesa ama vuna Mihela kwa wasikilizaji wako, hahahahah
sipo ivo bro unavo dhani nisamehe wasikilizaji ninao wakutosha kaka angalia server apo inavo onyesha sina mchongo wowote pitia post zangu za ig sijaanza leo kueneza injili na mpaka nimefika sijala pesa ya mtu yeyote dhamira yangu ni kueneza injili
 
Back
Top Bottom