Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa siku inakugharimu Kama bundle kiasi gani kuendesha hio radio mkuu,?lazima data
Motivational speakers hua mna mbwembwe.Umefungua redio ya dini na unavunja sheria kwa kutoisajili Serikalini kupitia TCRA...kwa hiyo wewe ni mwizi unaiibia Serikali mapato yake. Umaana wa hiyo injili haupo. Ulifaa kuwa mfano uisajili kisha uendelee na uinjilishaji. I don't support your initiative kama unavunja sheria.
Mungu akubariki sana mtumishi Kigger .Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk
Maana pesa najichanga ili niweze kusajili TCRA lakini kwa wakati huu naanza naomba kama kuna mtu atakuwa na laptop ndogo tu anisaidie, hata mic ndogo tu kusudi niendelee kutumia katika kueneza injili
Radio inapata wasikilizaji hadi 500 kwa wakati mmoja na wasikilizaji hadi elfu 40,000 kwa siku kwa mwezi ni zaidi ya milion 1.
lakini pia tunajiunga taarifa ya habari kupitia tbc taifa taarifa ya habari saa 1 asubuhi 7 mchana na 2usiku online radio pekee ambayo inafanya ivo
View attachment 2263104
unaweza kunishauri 0757560345
Kutangaza injili ni hazina ya mbinguni , usiwaze sana kuhusu hela ya kumhonga Ashura tu .Unapata faida kiasi gani
Hongera,ila jitahidi uisajili haraka Tcra,maana nakukumbusha tu mswada wa sheria ya habari ulisha sainiwa.Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk
Maana pesa najichanga ili niweze kusajili TCRA lakini kwa wakati huu naanza naomba kama kuna mtu atakuwa na laptop ndogo tu anisaidie, hata mic ndogo tu kusudi niendelee kutumia katika kueneza injili
Radio inapata wasikilizaji hadi 500 kwa wakati mmoja na wasikilizaji hadi elfu 40,000 kwa siku kwa mwezi ni zaidi ya milion 1.
lakini pia tunajiunga taarifa ya habari kupitia tbc taifa taarifa ya habari saa 1 asubuhi 7 mchana na 2usiku online radio pekee ambayo inafanya ivo
View attachment 2263104
unaweza kunishauri 0757560345
Da we kajamaa ni kakuda.Umefungua redio ya dini na unavunja sheria kwa kutoisajili Serikalini kupitia TCRA...kwa hiyo wewe ni mwizi unaiibia Serikali mapato yake. Umaana wa hiyo injili haupo. Ulifaa kuwa mfano uisajili kisha uendelee na uinjilishaji. I don't support your initiative kama unavunja sheria.
Jitu la hovyo hilo achana nalo hata humu kuna ajina NabalDa we kajamaa ni kakuda.
Umefungua redio ya dini na unavunja sheria kwa kutoisajili Serikalini kupitia TCRA...kwa hiyo wewe ni mwizi unaiibia Serikali mapato yake. Umaana wa hiyo injili haupo. Ulifaa kuwa mfano uisajili kisha uendelee na uinjilishaji. I don't support your initiative kama unavunja sheri
nitabadilisha nafikiri nimekoseaupako wa kibududani embu kuwa serious basi unavyo andika