Nimefanikiwa kufungua online radio

Nimefanikiwa kufungua online radio

Umewezaje kusajiri nchi zingine ukashindwa kusajiri hapa bongo?

#MaendeleoHayanaChama
nchi nyingi online radio hazilipiwi nilicho fanya ni kufanya radio ipatikane kwa kila nchi sio kusajili kwenye mamlaka huska ona baadhi ya nchi za afrika tunazo patikana
Umewezaje kusajiri nchi zingine ukashindwa kusajiri hapa bongo?

#MaendeleoHayanaChama
 

Attachments

  • Screenshot_20220617-090742.png
    Screenshot_20220617-090742.png
    74.4 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220617-090400.png
    Screenshot_20220617-090400.png
    62.5 KB · Views: 28
  • Screenshot_20220617-085124.png
    Screenshot_20220617-085124.png
    81 KB · Views: 26
Hongera,

Mtafute Nape Nnauye huko tweeter ili aukupe msaada wa mawimbi.

Nchi nyingine watu kama nyie mnapata elimu zaidi ili ugundue more and more.

Bongo utasikia amekopi ie gari la masudi, but komaa utafika tu.
asante kwa ushauri pale twitter nimfate dm au kwenye post ngoja nimwambie sifahamu vile atapokea
 
Back
Top Bottom