Juzi nimekusikiliza usiku kucha, unagusa mle mle!
Kuhusu earphone niliyokuahid nipe namba zako PM Mkuu,
Ila uniwekee kipande cha kuwa mtangazaji wako buuuuure kbisa (napenda tu kutangaza by nature), kama una uwezo wa kuruhusu hata niendeshe kipindi toka mbali na ulipo inakuwa poaw sana (tutaanza kuweka visegment kidogodogo, mfano maisha ya ujana na Neno la Mungu, Maisha ya ukiristo na uchumi wetu, God's night Lovers, Njonzi njema Mikononi mwa bwana n.k), na unipe kipindi usiku tu maana mchana mishe zinabaana