Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk
Maana pesa najichanga ili niweze kusajili TCRA lakini kwa wakati huu naanza naomba kama kuna mtu atakuwa na laptop ndogo tu anisaidie, hata mic ndogo tu kusudi niendelee kutumia katika kueneza injili
Radio inapata wasikilizaji hadi 500 kwa wakati mmoja na wasikilizaji hadi elfu 40,000 kwa siku kwa mwezi ni zaidi ya milion 1.
lakini pia tunajiunga taarifa ya habari kupitia tbc taifa taarifa ya habari saa 1 asubuhi 7 mchana na 2usiku online radio pekee ambayo inafanya ivo
View attachment 2263104
unaweza kunishauri 0757560345