Nimefanikiwa kufungua online radio

Nimefanikiwa kufungua online radio

Warumi 13:1 SRUV

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.

Wewe ni sawa na WAHUNI wengine TU...TII MAMLAKA
acha roho mbaya ningekua kenya au rwanda ni habari kubwa ila hapa tz awadhamini ili jambo ni kubwa akuna radio yoyote ya online ipo kila nchi ata iyo clouds hawapo kila nchi,kwenye list za radio za kenya uwezi kuta clouds ila utakuta tzgospel pekee unafikiri kwani hao awataki?ni ngumu kufanya ivo hawafahamu namna ya kufanya ivo ata nikikosa kibali kwa tanzania haita fanya kazi ila kwa nchi zingine injili itaendela,alafu nataka nikwambie kuwa tcra wameona na wanasikiliza maana ipo kwenye top radio za online tz nilianza mwaka jana mpaka sasa naamini tcra wanaiyona na wanasikiliza pia kuna matangazo ya serikali naya cheza
usizime ndoto zangu naipenda nchi yangu ndio maana ata logo kuna bendera ya nchi yangu ata wazungu wananitumia imail nyingi kujua kwa nini nimefanya ivo usizime ndoto zangu usikatishe tamaa acha kila mtu aonyeshe uwezo wake wapo vijana wanauwezo wametulia tu awajui wapi pakuanzia
 
usiwaze kaka system iliyopo unaweza kutangaza ukiwa hapo hapo ili mradi tu uwe na access net basi na katika kitu nilicho plan watangazi wote watakua wanatangazia sehem tofauti hakuna kujazana studio wala nini cha msingi nikusajili tu mambo yote safiii itakua radio ya kwanza ina watangazaji ambao awafiki studio hahaha!
Good, lini sasa tuamshe watu, weka na uwezo wa wasikilizaji kupiga simu na kushiriki kipindi, tena na online calls ili wa nje ya nchi washiriki pia.
Nasubiria ni apply kipaji
 
Good, lini sasa tuamshe watu, weka na uwezo wa wasikilizaji kupiga simu na kushiriki kipindi, tena na online calls ili wa nje ya nchi washiriki pia.
Nasubiria ni apply kipaji
tuna huaba wa vifaa tu kwa sasa naamini tukipata tutaendelea kupiga kazi tunategemea kupata ata watangazaji hata nje nchi system yetu inauwezo huo
 
wadau ninerejea kwenu tena! naamini niwazima sichoki washirikisha wana jf naamini mtanifungulia njia,mapema mwezi wa nne awa wamerekani tunein walinitumia email kwamba waameona kutuo cha (tzgospel radio) walitaka waweke kwenye app yao ya tunein ni app kubwa zaidi ya kusikilizia radio
wakanitaka nijielezee kuhusu kituo changu nikajielezea baada ya kujielezea walihitaji vielelezo utaona kwenye email apo chini mnaweza kunisaidia pakuanzia email zote mbili naziweka hapakwa sasa ilibradio iingie tunein ni mtihani nisema ni kama bahari wao kunikubalia maana ata radio za fm azipo uko na radio zilizopo niza zamani View attachment 2266526

View attachment 2266526
Screenshot_20220620-132621.png
Screenshot_20220620-134210.png
 
Upako wa Kibududani...Hongera sana!! Umetumia muda gani?
 
jpg_20220624_215000_0000.jpg
kwa sasa pia tunasikika hadi kwenye smart kitochi tunahakikisha haupunjikiii tumesalia tunein pekee
 
Umefungua redio ya dini na unavunja sheria kwa kutoisajili Serikalini kupitia TCRA...kwa hiyo wewe ni mwizi unaiibia Serikali mapato yake. Umaana wa hiyo injili haupo. Ulifaa kuwa mfano uisajili kisha uendelee na uinjilishaji. I don't support your initiative kama unavunja sheria.
Wabongooo haya bana, sisi ndio WATANZANIA.

#YNWA
 
Mkuu hongera sana, Mwenyezi Mungu akusimamie na utimize ndoto zako kwa ufasaha. Mkuu nitakutumia nyimbo zangu ili ziwe kwenye hiyo Playlist
 
Mkuu hongera sana, Mwenyezi Mungu akusimamie na utimize ndoto zako kwa ufasaha. Mkuu nitakutumia nyimbo zangu ili ziwe kwenye hiyo Playlist
nashukuru sana kaka nitafurahi sanaa nikipata nyimbo zako
 
Back
Top Bottom