Kigger
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 850
- 772
- Thread starter
- #161
shukrani kaka,kwa saa 24 ni Gb 1.440 wastani kwa lisaa ni mb 60 tu haizidi apo ni kiasi kidogo cha mbHongera sana Mkuu,nimesoma maelezo yako yote,nitaijaribu app yako nilete mrejesho,usikate tamaa,hivi kwa uzoefu wako msikilizaji wa kawaida anaweza kutumia data kiasi gani kwa saa 24 akisikiliza online radio yako?
Hili swali ukilipatia majibu basi unaweza ukaongeza kwenye sehemu ya maelezo ya radio yako ili mtu anajua kwamba natakiwa niwe na data kiasi fulani bila kuwa na wasiwasi.