Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
HUU UZI BILA PICHA NI UZUSHI

Maadili maadili gani? maadili itakuwa Bongo
 
Hivi Mo hajazindua bidhaa mpya za kuweka tangazo kwenye jezi💃💃💃💃💃
 
Ayo ndio Makombe ya Simba msimu huu.
BF8FFA27-A6AE-489C-A531-F93A0AE91FEF.jpeg
 
Hizo ni zile za kuwatuliza mzuka, ngoja zije zile maronya ya China mtasha gaa usanii wa hapa mjini
Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
 
Back
Top Bottom