Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
HUU UZI BILA PICHA NI UZUSHI

Maadili maadili gani? maadili itakuwa Bongo
 
Hivi Mo hajazindua bidhaa mpya za kuweka tangazo kwenye jeziπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Hakuna jezi kali kama zile duniani,labd huko mbinguni πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Hizo ni zile za kuwatuliza mzuka, ngoja zije zile maronya ya China mtasha gaa usanii wa hapa mjini
Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…