Nimefanikiwa kupunguza uzito wa Kg 6 ndani ya miezi 4, zifahamu mbinu nilizotumia!

Nimefanikiwa kupunguza uzito wa Kg 6 ndani ya miezi 4, zifahamu mbinu nilizotumia!

Usilogwe ukapunguza uzito kwa kunywa dawa.Cha msingi angalia diet yako na upige mazoezi kila siku angalau lisaa limoja,kwa kutembea,kukimbia na mazoezi mengine kama michezo n.k.Usitumie dawa
 
Asikudanganye huyo jamadari, nenda kajisomee mwenyewe hapa. Ila website ipo kwenye matengenezo ila unaweza kuisoma hiyo bila shida.[/QUOTE

Wakuu samahani sana hiyo habari naenda kui-edit sasa hivi ili niwafahamishe kile nilichomaanisha. Matatizo ya kiufundi yalitokea pindi nilipokuwa naiandaa, vuteni subira kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom