Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasumbuliwa na uzito kupita kiasi? kama ndiyo nijibu mikusaidie
Umefanikiwa kwa kuweka habari yako hujafanikiwa kwakupunguza uzito wewe.Wakuu habari zenu?
Anasema maneno ya uongo hajafanikiwa kabisa njia za kupunguza uzito hebu tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...zito-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini.htmlweka mbinu nhapa kwa faida ya wengi
Wakuu habari zenu?
Asikudanganye huyo jamadari, nenda kajisomee mwenyewe hapa. Ila website ipo kwenye matengenezo ila unaweza kuisoma hiyo bila shida.[/QUOTE
Wakuu samahani sana hiyo habari naenda kui-edit sasa hivi ili niwafahamishe kile nilichomaanisha. Matatizo ya kiufundi yalitokea pindi nilipokuwa naiandaa, vuteni subira kidogo!