Nimefanikiwa kupunguza uzito wa Kg 6 ndani ya miezi 4, zifahamu mbinu nilizotumia!

Unasumbuliwa na uzito kupita kiasi? kama ndiyo nijibu mikusaidie
 
Usilogwe ukapunguza uzito kwa kunywa dawa.Cha msingi angalia diet yako na upige mazoezi kila siku angalau lisaa limoja,kwa kutembea,kukimbia na mazoezi mengine kama michezo n.k.Usitumie dawa
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…