Nimefanikiwa kupunguza uzito, zifahamu mbinu zangu na changamoto zake!

ni vizuri kutuletea feedback hii itakuwa changamoto kwa wengine na wao waweze
 
Last edited by a moderator:
Amaa nilotumia sio mdalasini? Tena packed supermarket!
Yaani ni chungu hata asali haisaidii. Ila nilikuwa nauchemsha kama chai. Labda nijaribu hiyo recipe yako aisee. Na nipinguze kudeka manake kitu kikiwa na ladha ya ajabu tu hadi nisimamiwe na fimbo ndo ntakunywa kha
King'asti mdalasini mbona sio mchungu? sema tu.taste yake sio nzuri.

but ukishemsha maji weka kwenye glass then tia mdalasini acha ipoke ndio uweke asalu unywe ile taste iinakua nzuri tu.

try this.
 

Mkuu mimi nataka kupunguza tumbo tuu je hii ni tumbo tuu au mwili mzima?
 
Mi napga zoezi,na natumia mdalasini kwenye chai.

Next week naanza mdalasini+Asali+Tangawizi pia zoezi.

Hiki kitambi kitatoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…