Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahaRafiki hata wewe nikipata picha zako nitazitupia hapa![emoji12][emoji12][emoji12]
Mwenyewe nmefungua haraka haraka jinsi nnavyompenda huyo dada khaaaNilidhani kweli kumbeeee 😜
Mwenyewe nmefungua haraka haraka jinsi nnavyompenda huyo dada khaaa
Nitanuna bwana usinicheke😂😂😂😂😂😂
Siyo picha za Sky bali namtania tu shem wangu mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]Mbona hio picha ya kwanza kama haiendani na kivuli?