Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

Anyway lakini poa tu.

Nimetoka kukata ticket hapa Morogoro nina safari ya Mwanza kesho. Ghafla nikawaza toka mwaka uanze sijakaa siti moja na pisi kali. Kila nikisafiri nakaa na mabroo tu.

Ghafla nikapata akili,hivi siwezi kumpa tip agent aniweke siti moja na pisi kali? Nikajitoa ufahamu,nimempa agent buku 3 ili akipata pisi kali inakuja kukata tiketi aiambatanishe hapo kwenye siti yangu.

Agent nakutegemea sana broo. Kesho nitawapa feedback yatakayojiri
Ngoja umri uende na upate familia utanyooka tu.
 
Back
Top Bottom