Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Selasin Nae mpaka abanwe ndipo afunguke,itamcost sana.

Sasa hivi ndio ameanza kufanya mikutano na kuomba viongozi tuandae mikutano mwezi huu wakati alikua akitengeneza migogoro na sisi.Kwa mfano Kahe kuna shida kubwa sana na migogoro kibao ya wananchi ndio anakumbuka sasa
 
Sasa hivi ndio ameanza kufanya mikutano na kuomba viongozi tuandae mikutano mwezi huu wakati alikua akitengeneza migogoro na sisi.Kwa mfano Kahe kuna shida kubwa sana na migogoro kibao ya wananchi ndio anakumbuka sasa
Selasini ni mzuri ila alikuwa anataka jifanya kidume cha Nyani...km vile alikuwa na kakikiburi kwa CDM fulani.Ila anajua kazi,anajua baya na zuri,anajua upuuzi ni upi na nini kinahitajika watu waende mbele,na siku akifunguka anafunguka vizuri.Ila ana poteza muda sana kupalilia personality yake.
 

rosemarie umemshauri vizuri lakini kama ni jimbo la Rombo tutakua tumepata ahueni sana

Ben ni mwanasiasa ambitious sana ingawa wanayofautiana na Zitto kwa jambo dogo sana.

Naomba asiwe kama alivyofanya uchaguzi mkuu wa BAVICHA baada ya kuenguliwa akaamua tukose wote akahamishia kambi kwa wagombea wengine ili yule aliyetakiwa asishinde na kweli alifanikiwa lakini alituharibia Baraza la Vijana
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri Mkuu katika kuwatumikia Watanzania..



..Ni Hayo Tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…