Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Kamanda nimefurahishwa kwa uamuzi wako. Naahidi kukupatia mchango japo wa kuchapisha hii makala yako ili wale wa vijijini- kuanzia Mrere hadi Rigicha kule mkoani Mara, wapate nakala. Naamini si wote wote wenye kupata huduma hii ya mawasiliano ya kisasa ya intaneti. Nanuia watambue dhamira yako njema ya kuwatumikia. Mungu akubariki sana.

kudos manyerere
 
"Chadema ndicho chama makini,hakuna njia rahisi kufikia mafanikio"
 
Kwa akili za viongozi wako wanaweza kumpitisha profesa j na wewe ukawekwa kando. Lakini pamoja na yote hayo tunakuombea safari njema.
 
Huyu Ben Saanane tumuombee afike salama. Kama ataendeleza bidii yake, tutakuja kuwa na mtu mmoja muhimu sana!

Ben, naamini Chama chako kitakupitisha tuu, na naamiini Jimboni utashinda tu!

I can't wait to see you Mjengoni!
 
Last edited by a moderator:
Ben unaonekana ni kijana mwenye akili na uwezo wa uongozi. Nakuunga mkono nafikiri unahitajika CDM kwa wakati huu na hasa baadaye! Kila la kheri.
 
Ben akigombea namfuata katika jimbo hilo nami nikagombee, najua madhaifu yake huyu mkaanga Sumu.

Mtu kuwa na madhaifu ni jambo la kawaida hata wewe tukiamua kuku search tutapata tu madhaifu yako .nilidhani unasema unajua uovu wake na una ushahidi
 
haha ha,huyu kijana alikua akiniudhi sana,lakini karibuni nimegundua ametulia sana,nampa OK.
 
Safari yako ni safari yangu, Safari yangu ni safari yako, Safari yetu ni safari ya Watanzania.

Twende Bungeni na Ben Saanane!
Yericko Nyerere, this is high time, kwa wewe pia kutangaza nia! Tumekusoma sana, uaminifu wako katika chama chako, tunakukubali, tunakuhitaji wewe pia uende bungeni ili uweze kutumika kwa upana zaidi!

Unatuahidi nini Yericko?

Wapenda mabadiliko chanya wengine, je mnaniunga mkono kwa hoja hii kwa Yericko?
 
Last edited by a moderator:
watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii tuko pamoja na wewe; mwenyezi Mungu yuko mbele yetu Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma kitabu cha JOSHUA 1:5 - 25 Mungu anasema, hapata kuwepo mtu yeyote atakaye simama mbele yako siku zote za maisha yako,kama nilivyo kuwa na Musa ndivyo nitakavyo kuwa pamoja nawe sinto kuacha wala sinto kupungukia,ila uwe hodari na moyo wa ushujaa,hilo tu! na mimi napanda maneno hayo kwako kamanda kwa nafasi unayoiomba,Mungu akutangulie na Mungu akufanikishie haja ya moyo wako!
 
haya nenda mwenyewe, mie sina muda wa kukusindikiza!msomi kumbe buuuree kabisa, itabidi tuwaombe tcu wa verify degree hizo,maana akili kubwa haiwezi kusombwa na kuongozwa na ndogo hata kwenye upuuzi!kwa ushauri nenda act wazalendo achana na ndio mzee za kwa mbowe!

akili huna!
 
Ukisoma kitabu cha JOSHUA 1:5 - 25 Mungu anasema, hapata kuwepo mtu yeyote atakaye simama mbele yako siku zote za maisha yako,kama nilivyo kuwa na Musa ndivyo nitakavyo kuwa pamoja nawe sinto kuacha wala sinto kupungukia,ila uwe hodari na moyo wa ushujaa,hilo tu! na mimi napanda maneno hayo kwako kamanda kwa nafasi unayoiomba,Mungu akutangulie na Mungu akufanikishie haja ya moyo wako!

MPAMBWE,

Nimeguswa sana na ujumbe huu.Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye heri nawe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom