Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
kuliko hata mumeo kagenziTeh Teh Ben saanane ana akili kuliko vijana wote wa chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuliko hata mumeo kagenziTeh Teh Ben saanane ana akili kuliko vijana wote wa chadema.
Yericko Nyerere, Asante sana komredi wangu
Hapo sasa ndio ujue kuna watu hawana tafakuri bali mihemko tu.Wale waliomtukana wanajisikiaje sahivi?
ulitaka atangaze nia akiwa na mumeo?Ww kweli ni shida nia umetangazia JF
Wewe ulitaka yapi? Au angesema akula witi ndio yangekuwa magumu?
safari njema mkuu,, kapiganie watanzania, tunahitaji damu mpya kwenye mifumo yetu iliyooza... Mifumo yetu inahitaji akili nyingine na ziwezimetoka kwenye damu nyingine na sio akili zilezile na vizazi kutoka kwenye damu zilezile.
Tanzania ilipofikia inahitaji akili mpya kabisa,, naamini unaweza kusaidia,, Elimu yako ni nzuri na sio zile za magumashi,mitazamo yako ni mizuri na tulikuwa tukishare mambo mengi humu JF bila shaka unafahamu mengi na shida za watanzania unazijua naamini katika hilooo
Utafanikiwa mkuu na dua zetu zinafanya kazi kwako tunahitaji hiki kizazi sasa,,, usijaribu kukengeuka ukishika hicho kiti mkuu maana hiyo ni dhambi mbaya sana hapa duniani...
Nenda kapigane mkuu, vita hii ni ya kwetu wote...
Hata mimi sikuona Jimbo. Kwa hiyo Joseph Selasini hatoshi? Rafiki yangu Selasini naona umeingiliwa jimboni. Nasikia Selasini alipambana sana kwenye serikali za mitaa na kusababisha CDM kupata ushindi mnono.
Mkuu hapa kijiweni kwangu kuna vijana toka Rombo Mkuu, Useri, nk wanajihusisha na shughuli za kutafuta riziki. Mara nyingi huenda huko na wao ndio walinipa habari za Selasini huko Rombo japo mimi binafsi namfahamu Joseph tangia enzi za NCCR. Nikuambie tu kwamba hata mimi naufahamu uwezo wa Ben kupitia mitandao. Tusubiri mchakatoMkuu nimekuwa Rombo kwa mda, Ben Alifanya kazi kubwa sana, Mpaka akawapoteza rafiki zake Walio ifia Safari ya ben katika harakati za kuijenga Chadema rombo, nakumbuka walipata ajali wakielekea Rombo kuijenda chadema na rombo.
Nguvu ya Ben rombo ina julikana Umaarufu na ushawishi wa Ben Rombo ni Mara mia ya hapa JF.
Weledi wa Ben na kazi za kijamii na za kichama alizo zifanya Rombo zina tambulika na kuenziwa.
Ben anaaminika Rombo, Ben anapendwa rombo, Ben ni habari ya rombo sio Vijana, wamama, wababa na vikongwe.
Mchango wa Joseph thelasini kwa wana Rombo na kwa chadema kamwe hauwezi kumpuuzwa, ila kiukwe tunaitaji nguvu mpya.
Rombo, Moshi mjini tunaitaji nguvu mpya, 30 ni kiongozi wa juu chadema, ila Utendaji wake kwa wanarombo ulikuwa wa kusuwasuwa sana, na huo ndio ukweli. Rombo tunamwitaji Ben Saanane over.
Mkuu, mods hawajaona hii?Wewe ulitaka yapi? Au angesema akula witi ndio yangekuwa magumu?
Usipomtaja Zitto Huwezi kujenga hoja yako? Acheni wivu unaopelekea chuki Bahati Mbaya chuki haziwezi kuzuia mafanikio ya Mtu.Narudia tena niliyoyasema kwenye ule uzi...JF imevamiwa na vitoto visivyoweza hata kusoma kati ya mistari na hivyo ni wachache humu waliweza wakamuelewa kijana kama Ben Saanane. Binafsi simfahamu na hata nikikutana naye siwezi kumtambua lakini nikisoma maandishi yake nitayatambua mara moja na toka mwanzo najiunga na JF miaka minane iliyopita nilitambua uwezo wa kijana huyu.
Kuna tofauti kubwa kati ya Ben Saanane na mtu kama Zitto Kabwe na tofauti hii ilimwezesha Ben Saanane kumtambua Zitto Kabwe mara moja kwamba ni mtu wa kukaa mbali naye. Hongera Ben Saanane, hata mimi niliweza kujua mara moja maamuzi gani unatafakari kuyachukua, hongera sana na nakutakia kila la kheri katika safari yako hii na usikatishwe tamaa na kejeli kutoka koo za kifisadi.