Kinyonga01
Member
- May 22, 2023
- 85
- 295
Kaka vipi hali pole na majukumu.
Samahani kuna hii issue inanitesa sana ni wiki ya pili sasa na sijuwi nifanyaje.
Iko hivi kuna binti niko naye kwenye mahusiano mwezi wa 7 sasa japo kila mtu anaishi kwake lakini mara kwa mara tunatembeleana yeye huja kwangu na mimi huenda kwake na kiufupi ni kama nimeoa!
Kilichonileta hapa ni kwamba kuna siku alikuja kwangu lakini akanambia haoni siku zake kwani zile tarehe zilikuwa ndio za kuingia mwezini. Usiku wa siku ile tulilala pamoja na tukafanya,sasa kesho yake asubuhi tukaamkia tena lakini cha kushangaza wakati wa tendo nikiwa sielewi hili wala lile nikahisi mwenzangu kaloana sana nakuja kuangalia lahaulaa. Niliona dimbwi la damu nyingi kiashiria kwamba ameshaanza siku zake ikabidi tu stop. Mbaya zaidi hatukutumia kinga na yeye mwenyewe akajitetea hakuwa akijua kama ana-bleed wakati wa tendo.
Sasa ni wiki ya 2 sasa tangu tumekutana sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke akiwa kwenye siku zake huko nyuma ndio maana nimekuja kuomba msaada kama kuna madhara yeyote kwa mwanaume kiafya hata kiimani tuu maana naona mabadiliko mwilini mwangu ikiwemo kuota vipele usoni na mdomoni naomba niulizie kwa wadau wako nitasoma comments
Asante. Msaada wenu wana Jamvi kijana wenu kayakanyaga huko.