Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake. Kuna madhara gani kiafya?

Kaka vipi hali pole na majukumu.

Samahani kuna hii issue inanitesa sana ni wiki ya pili sasa na sijuwi nifanyaje.

Iko hivi kuna binti niko naye kwenye mahusiano mwezi wa 7 sasa japo kila mtu anaishi kwake lakini mara kwa mara tunatembeleana yeye huja kwangu na mimi huenda kwake na kiufupi ni kama nimeoa!

Kilichonileta hapa ni kwamba kuna siku alikuja kwangu lakini akanambia haoni siku zake kwani zile tarehe zilikuwa ndio za kuingia mwezini. Usiku wa siku ile tulilala pamoja na tukafanya,sasa kesho yake asubuhi tukaamkia tena lakini cha kushangaza wakati wa tendo nikiwa sielewi hili wala lile nikahisi mwenzangu kaloana sana nakuja kuangalia lahaulaa. Niliona dimbwi la damu nyingi kiashiria kwamba ameshaanza siku zake ikabidi tu stop. Mbaya zaidi hatukutumia kinga na yeye mwenyewe akajitetea hakuwa akijua kama ana-bleed wakati wa tendo.

Sasa ni wiki ya 2 sasa tangu tumekutana sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke akiwa kwenye siku zake huko nyuma ndio maana nimekuja kuomba msaada kama kuna madhara yeyote kwa mwanaume kiafya hata kiimani tuu maana naona mabadiliko mwilini mwangu ikiwemo kuota vipele usoni na mdomoni naomba niulizie kwa wadau wako nitasoma comments

Asante. Msaada wenu wana Jamvi kijana wenu kayakanyaga huko.
wewe mwenyewe unajisikiaje
 
Mkuu tulia tu hakuna shida labda UTI sugu. Hii imewahi kunitokea
Nakumbuka nilipiga push up za uhakika ile chuma inatoka, demu akairudisha chap namm nikaona isiwe kesi nikaendelea kupeleka fire, sec time chuma inatoka lakini imeloa kiasi kwamba inataka kuvuka, ile naicheki naona damu, ile nataka kushika demu akaniambia Achaaaaa!

Niliduwaa Kwa muda Wala sikuelewa kilichoendelea, mpaka nilipokuja kushtuliwa na demu, ndo akili inakuja, ikabidi nimuulize.

Ndo hvyo bana, Ila Kuna pisi ni careless sana unakuta anajali muonekano wa nje tu lakini ndani🤷
 
Kaka vipi hali pole na majukumu.

Samahani kuna hii issue inanitesa sana ni wiki ya pili sasa na sijuwi nifanyaje.

Iko hivi kuna binti niko naye kwenye mahusiano mwezi wa 7 sasa japo kila mtu anaishi kwake lakini mara kwa mara tunatembeleana yeye huja kwangu na mimi huenda kwake na kiufupi ni kama nimeoa!

Kilichonileta hapa ni kwamba kuna siku alikuja kwangu lakini akanambia haoni siku zake kwani zile tarehe zilikuwa ndio za kuingia mwezini. Usiku wa siku ile tulilala pamoja na tukafanya,sasa kesho yake asubuhi tukaamkia tena lakini cha kushangaza wakati wa tendo nikiwa sielewi hili wala lile nikahisi mwenzangu kaloana sana nakuja kuangalia lahaulaa. Niliona dimbwi la damu nyingi kiashiria kwamba ameshaanza siku zake ikabidi tu stop. Mbaya zaidi hatukutumia kinga na yeye mwenyewe akajitetea hakuwa akijua kama ana-bleed wakati wa tendo.

Sasa ni wiki ya 2 sasa tangu tumekutana sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke akiwa kwenye siku zake huko nyuma ndio maana nimekuja kuomba msaada kama kuna madhara yeyote kwa mwanaume kiafya hata kiimani tuu maana naona mabadiliko mwilini mwangu ikiwemo kuota vipele usoni na mdomoni naomba niulizie kwa wadau wako nitasoma comments

Asante. Msaada wenu wana Jamvi kijana wenu kayakanyaga huko.
Mada zingine ni ududu mtupu humu
 
Kuna madhara gani kiafya?

Lazima uote Busha...
 
kama kuna madhara yeyote kwa mwanaume kiafya
Jiandae kuota Busha hivyo yaan hakuna maelezo mengi na asikwambie mtu Busha linasababishwa na mbu huyo anazungumzia matende sio Busha
 
MADHARA KWA MWANAMKE.
1. Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID ( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

2. Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

3. Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

4. Utasa au Ugumba.

5. Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.
Si bado hayupo kwenye ndoa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom