nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Jinga hilo achana naloWe zimo kichwani kweli? Akili zako zimepokwa na nani?
Aisee hutanii mleta mada ni jinga bobevuJinga hilo achana nalo
"Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake"Hii nchi naona kila uchwao wendawazimu wanazidi kuongezeka
😂😂😂aiseeee ni kaziWe zimo kichwani kweli? Akili zako zimepokwa na nani?
Au labda kapewa masharti toka kwa SangomaHauoni kwamba hiyo imezidi sasa mkuu
Mi mwenyewe mmojawapo... period haijaisha tayari nipo hatarini kudakaHaving sex during a woman’s period is generally not harmful if both partners are healthy. However, there's a higher risk of spreading infections like HIV, and although rare, pregnancy is still possible. Good hygiene is important.
Yani umefanya makusidi halafu unakuja kutuuliza sisi!!! Watu kama nyie ndo mnashusha hadhi ya Jf, yani jf imekua kama facebook vile
Wanapiga tu,wanaume ukiwalegezea nyapu....wanapitanayo mkuu....Au labda kapewa masharti toka kwa Sangoma