Nimefanya mtihani wa IQ online, Naomba mnipe ufafanuzi wa majibu!

Nimefanya mtihani wa IQ online, Naomba mnipe ufafanuzi wa majibu!

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu mko poa?

Nimefanya mtihani wa IQ mtandaoni na nilitarajia kupata matokeo yanayoonyesha namba ya kiwango changu cha IQ. Hata hivyo, badala ya namba hizo, nimeshangazwa kupata matokeo yanayoonyesha maumbo mbalimbali.

Naomba mnipe ufafanuzi wa maana ya haya maumbo kwani nilitarajia matokeo tofauti.
CFFDCFA3-2905-4B73-BF32-5D872413308A.jpeg
 
Back
Top Bottom