Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
heeeh we mzeeHesabu ivyo vidoti vya Teal (kama kijani) ndo IQ yako
kwaiyo unataka useme mi ndo kilaza ivo maana viko kumi na kitu tu wakat IQ range inaend had 200Hesabu ivyo vidoti vya Teal (kama kijani) ndo IQ yako
we mzee nauhakika IQ yangu si ndogo maana niliyopata ni mengiIQ yako inakuwezesha kucheza gemu la nyoka tu