OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%,
Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote,
Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa zinazobaki 41% hazijalipiwa.
Kampuni ya Mo Simba yenye 49% ndiyo inayoilea na kuirisha simba kwa asilimia 90%
Mo namfananisha na Abrohmovic enzi zile anajimilikisha visima vya mafuta na viwanda vya shaba kule urusi, wengi walikuwa usingizini.
Naomba nihitimishe kwa kusema kuwa Mangungu ni kama geresha tu mwenye timu ni Mo, hizi kelele za mtandaoni hazina effect yoyote
Ili kummaliza nguvu Mo katika hao wanachama na Mashabiki inatakiwa mmoja wapo akalipie hizo hisa zote ambazo hamjazilipia.
Mnatakiwa mjue kuwa Simba haiendeshwi tena na wanachama na mashabiki kama zamani bali inaendeshwa kama kampuni, huo mkutano wenu mliotaka kuufanya jana ni kama kikao cha kijiwe cha kahawa hauna nguvu yoyote
Mo atatoka simba akiuza hisa zake na si vinginevyo, hamna namna ya kumtoa au kubadili muwekezaji labda aamue yeye maana ili mtu awekeze lazima awe mwanachama na atamiliki asilmia 41 tu ktk zile ambazo hamjazilipia yaani hatakua na nguvu faida itakayopatikana Mo atavuta mkwanja mwingi zaidi kuliko mtu yeyote
Mashabiki hamtakiwi kuhangaika na Mangungu hangaikeni na Mo mkampigie magoti afanye usajili na kuweka mzigo wa maana. Hamna cha kumfanya kitu mnachoweza kumfanya labda kususia bidhaa zake na kuingia uwanjani na si vinginevyo.
Hata mkiweka mwenyekiti mpya upande wa wanachama hakuna kitu kitakachobadirika mpaka Mo yeye mwenyewe aamue, ndio maana unaona anateua mtu yeyote na kuamua muda wowote he is the boss, upande wa wanachama ni kama washauri tu hawana mamlaka yeyote