OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #21
Imeundwa na kampuni tanzu ngapi? Na imesajiliwa wapi? Na hisa zake zinathamani ya sh ngapi?Kwa sasa simba ni kampuni ambayo inajulikana kama simba sport club company ltd. ambayo inamilikiwa na wanachama kwa 100%
Kwa sasa kuna simba sports club company ltd. moja tu ambayo inamilikiwa na wanachama kwa 100%. Kupitia mfumo wa mabadiliko aliokuja nao Mo ndipo zilitakiwa kuwa kampuni tanzu zingine ikiwemo simba sports club holding company limited chini ya iyo ndipo zingekua Mo simba company ltd. ambayo ingechukua 49% na simba sport club company ltd. ingechukua 51%. Mchakato wa mabadiliko haujafika mwisho kwaiyo kampuni inayotambulika ni simba sports club company ltd. kwa 100% ambayo inamilikiwa na wanachama chini ya uongozi wa Mangungu.Imeundwa na kampuni tanzu ngapi? Na imesajiliwa wapi? Na hisa zake zinathamani ya sh ngapi?
Ukijibu hili swali la mwisho ndio utajua kuwa simba sio mali ya wanachama
Biashara ilishaisha mkuu
Hisa zishauzwa na zikalipiwa kwa taarifa yako kama huamini ulizia kws wadauKwa sasa kuna simba sports club company ltd. moja tu ambayo inamilikiwa na wanachama kwa 100%. Kupitia mfumo wa mabadiliko aliokuja nao Mo ndipo zilitakiwa kuwa kampuni tanzu zingine ikiwemo simba sports club holding company limited chini ya iyo ndipo zingekua Mo simba company ltd. ambayo ingechukua 49% na simba sport club company ltd. ingechukua 51%. Mchakato wa mabadiliko haujafika mwisho kwaiyo kampuni inayotambulika ni simba sports club company ltd. kwa 100% ambayo inamilikiwa na wanachama chini ya uongozi wa Mangungu.
Kuhusu thamani ya hisa bado hakuna taarifa rasmi zinazoonesha actual amount.
Hakuna kitu kama hicho. Kawadanganye mbumbumbu wenzako. Mchakato wa mabadiliko bado haujakamilika katika katiba kuna vipengere ambavyo vinatakiwa kuwekwa sawa ndipo mamlaka ziupitishe. Pesa aliyotoa mo ni msaada tu kisheria hawezi kutaka arudishiwe au ziwe kama mbadala ya ile bilioni 20 ya 49% ya hisa zake baada ya transformationHisa zishauzwa na zikalipiwa kwa taarifa yako kama huamini ulizia kws wadau