kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
P2 ndo msaada wa haraka apoo alaf kua mwangalifu miaka 30 siomchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Ulishajamtiaga mwingine mimba au unachanyikiwa bure tu
Mwache azae kwani utabeba wewe mimba?asihangaike yeye wewe ndio uhangaike?Wakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa kufanya mimba isitunge [emoji24] [emoji24] [emoji24]
P2 ndo msaada wa haraka apoo alaf kua mwangalifu miaka 30 siomchezo
Mkuu wewe una balaa kubwa vibaya mnoooooo.Yupo chuo kikuu ila ana Mme Me ni mchepuko tu
Nyie ndio mnawaambukiza wake za watu ukimwi huko vyuoni.Yupo chuo kikuu ila ana Mme Me ni mchepuko tu