Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni.
Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa miradi 1300 inayojengwa kote nchini ikiwemo ile ya ufadhili na ubia.
Jumla ya deni la taifa ambalo awamu ya sita imekopa ni tilioni 37. Lakini gharama HALISI YA MIRADI Nimepata kiasi cha 8.7 tilioni!
Naimani hii tilioni 22 itakuwa iko hazina imetulia ikisubili miradi mingine tofauti na hii tunayoiona ikijengwa sasa.