Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Nilikosa cha kufanya na bundle ilikuwa imekatika kwa simu, nikapata idea ya kuhesabu pete za ndoa vituoni na kusema kweli inaonesha wanaume wengi sana wana pete vituoni kuliko wanawake, katika kudadisi dadisi katika halmashauri ya ubongo wangu nikaja na majibu yafuatayo;
1. Wingi wa wanaume kuwa na pete kuliko wanawake yaonesha labda wake zao ni kina Mama wa nyumbani hivyo "husband material" zinaenda ofisini wakati wife zipo nyumbani kwa majukumu madogo madogo
2. Hawa wanawake wasio na pete kuna mawili, aidha hawajabahatika kuolewa (siku hizi wanaume hawafanyi mchezo kabisa, huolewi eti kisa tu una papuchi) au hawajabahatika kuolewa na sio wadangaji (wanajipambania); maana wangekuwa wadangaji wasingekuwa wanagombania mabasi na wanaume
3. Nimechunguza hii hali ya petelesness na nikaihusisha na umri wa sura nazioziona aisee hali ni mbaya sana kwa wasimbe (30 na kuendelea kwa muktadha wa uzi huu), unazeeka hujaolewa huko mbele utakuja kumtegemea nani?