Nimefanya uchunguzi kuanzia Kituo cha Mabasi Pugu mpaka Segerea nimegundua pete za ndoa vidoleni ni chache sana

Nimefanya uchunguzi kuanzia Kituo cha Mabasi Pugu mpaka Segerea nimegundua pete za ndoa vidoleni ni chache sana

Nilikosa cha kufanya na bundle ilikuwa imekatika kwa simu, nikapata idea ya kuhesabu pete za ndoa vituoni na kusema kweli inaonesha wanaume wengi sana wana pete vituoni kuliko wanawake, katika kudadisi dadisi katika halmashauri ya ubongo wangu nikaja na majibu yafuatayo;

1. Wingi wa wanaume kuwa na pete kuliko wanawake yaonesha labda wake zao ni kina Mama wa nyumbani hivyo "husband material" zinaenda ofisini wakati wife zipo nyumbani kwa majukumu madogo madogo

2. Hawa wanawake wasio na pete kuna mawili, aidha hawajabahatika kuolewa (siku hizi wanaume hawafanyi mchezo kabisa, huolewi eti kisa tu una papuchi) au hawajabahatika kuolewa na sio wadangaji (wanajipambania); maana wangekuwa wadangaji wasingekuwa wanagombania mabasi na wanaume

3. Nimechunguza hii hali ya petelesness na nikaihusisha na umri wa sura nazioziona aisee hali ni mbaya sana kwa wasimbe (30 na kuendelea kwa muktadha wa uzi huu), unazeeka hujaolewa huko mbele utakuja kumtegemea nani?
Ulijiuliza swali kwamba miongoni mwa hao wengine ni wasabato?
 
Rasmi ni mmoja...
Wasio rasmi watatu...
Mapoozeo rasmi wawili...
Wale wa kupita nao.....ambao sijazaa nao...idadi siijui....na bado sebene laendelea....😜
Unatakiwa uchomwe moto alive!Unakuaje na akina mama wengi hivyo?Na hao wawili wawe mwili mmoja tu.
 
Mahari yako hata iwe bilioni 9999999999999999 haikufanyi wewe kuwa sole owner of my mbususu.

Huoni kuwa humtendei haki aliyejimilikisha mbususu yako? Utapataje bahati kwa kumdanganya mtoto wa watu?
 
Unatakiwa uchomwe moto alive!Unakuaje na akina mama wengi hivyo?Na hao wawili wawe mwili mmoja tu.
Ninastahili dhawabu manake hawa nina wasitiri,,,,infakti dini yangu hairuhusu lakini kiuhalisia na asili ya kwetu ni jambo la kheri sana,,,,,,,,, baba yangu anao rasmi wawili wasio rasmi wawili,,,vivyo hivyo babu alikuwa nao kadhaa na KANISA linawaheshimu mpaka kesho...👍,,,,hata mie kanisani kama kawaida.....na mbege juu...
 
Ila Pete sio kigezo kama umeo au kuolewa...... Kuna Imani nyingine ambao pete ni dhambi hawazitumii kwenye ndoa hata kwenye maisha yao ya kawaida.
Kama wasabato, fgbf nk......
 
Tafiti za namna hii zina mchango mdogo sana kwa Taifa.
Anyway inawezakuwa wanaume hao umewaona wengi kwa idadi ndio wale ambao wake zao wanakaa home tu na hii kufanya uone wao ni wengi zaidi ya wanawake.

Binafsi naamini uchawi upo na wewe hapo ulipo umerogwa ndio maana unajihusisha sana na kufuatilia vidole vyenye pete😃
Ukimaliza utafiti huu sijui utakuja na upi

Ameleta mtazamo ambao ni mjadala mkubwa sana duniani kwa sasa, na anafanya analysis nzuri tu, Kama unaona hauna maana endelea na shughuli zako za maendeleo!

Mengi na pesa zake zote ( RIP ) MAPENZI yalimwendesha, wewe ni Nani?
 
Umesoma mstari mmoja hebu Soma tena
Ameleta mtazamo ambao ni mjadala mkubwa sana duniani kwa sasa, na anafanya analysis nzuri tu, Kama unaona hauna maana endelea na shughuli zako za maendeleo!

Mengi na pesa zake zote ( RIP ) MAPENZI yalimwendesha, wewe ni Nani
 
Ninastahili dhawabu manake hawa nina wasitiri,,,,infakti dini yangu hairuhusu lakini kiuhalisia na asili ya kwetu ni jambo la kheri sana,,,,,,,,, baba yangu anao rasmi wawili wasio rasmi wawili,,,vivyo hivyo babu alikuwa nao kadhaa na KANISA linawaheshimu mpaka kesho...👍,,,,hata mie kanisani kama kawaida.....na mbege juu...
Utetezi wako ni mrefu na una mashiko.Upewe wawili wa nyongeza.
 
Unavyomtetea kama vile yeye anavaa chupi ya chuma.

Kakuoa, ujue mpaka uolewe basi unasifa za kuwa mke, hata kama havai chupi ya chuma basi usije kujilinganisha na mbususu zinazojirahisisha huko nje; sasa imagine aje akute na wewe mbususu yake unagawagawa hovyo hapo atakufunganisha na mbususu za huko nje
 
Back
Top Bottom