Nimefanya utafiti nimeamini

Nimefanya utafiti nimeamini

mtandasa

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
89
Reaction score
66
FB_IMG_15219299970853357.jpg
 
Sijui umekula maharage ya wapi? Kuwa na madeni au kumliki kitu haina uhusiano na aina ya kazi, ni jinsi ubongo wako unavyofikiri tu. Huu utafiti wako ni null and void
 
Sasa naanza Kuungungana na Mzee wangu Mkapa ingawa mwanzoni nilikuwa nampinga.
Kama na huu ni utafiti, nafikiri kweli tunahitaji mjadala kuhusu elimu yetu.
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom