Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

Tatizo ni umasikini ila kibinadamu umekosea sana. Sio kwamba alikua anataka umlipie ila ni utamaduni tuliojijengea. Sasa umeshindwa kulipa 400 gesti utaweza lipia?
Guest atalipia coz atakuwa ameweka budget ya kugegeda. Ukipanga kugegeda lazima budget yako iwe na;
* Usafiri wenu(iwe daladala, boda, bajaj au mafuta ya gari)
* Chakula na vinywaji
* Guest/hotel mtakayojivinjari
* "uchakavu" au ahsante.

Haya mambo ya "utamaduni wetu" achana nayo, we are not a socialist nation no more!!
 
safi sana mkuu.. mfano mm kazi zangu napata malipo kwa wiki napanga mahesabu yangu ya wiki nzima, hapo hela haitoki kizembe labda niumwe
 
Ni swala la umasikini tu! Au ni kukosa ukarimu? Au ninini? What is 400 kwa mwanaume ambaye unaenda kutafauta unajua katika hii dunia unaweza ukaona umaefanya jaambo la kishujaa na wengine wanakupa hongera nyingi as if umefanya jambo la maana sana, kumbuka tunaishi kwa kutegemeana no matter unapesa au huna ipo sehem unaweza kukutana naye na ukiwa na shida ukakosa pa kuanzia pia 400 ! Kwa maisha haya is not a big deal.
 
Hiyo tabia ni mbaya, mimi niliwahi kukosa mchumba kwa njia hiyo. Hadi leo anachuki na mimi kisa 500, ha ha haaaah!. Wanawake hawapendagi vitu vikubwa mara nyingi kile unachokiona ni kidogo kwake yeye anakiona kikubwa, usidharau. Nae hakutulia inamaana alipanda daladala akiwa anategemea akikaa na mwanaume alipiwe nauli?......ha ha haaah!!!. Hujafanya kosa Magufuri angekuchagua ktk nafasi zilizobakia.....
 
Hii story inaonekana dizaini umetunga..btw inavutia kuchangamsha genge, na kama ni ya kweli basi nakupa bravo.
 
Sio wewe kaka ni hali yenyewe, bado kiduchu wife/mchumba wataambiwa watumie vitambara vya kanga badala ya always cocacola kubana matumizi. 400 unashindwa kumlipia mtoto wa kike!!?
 
Shida io tabia ya kimasikini imekuponza vipi mtoto alikuwa vipi wa ukweli au kawaida au hamna kitu
 
kumbe anatokea kskzn......!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…