Hapa stories tu kula kwenuUngemlipia mkuu. Si umetia nae stori.
Mkuu,mbona nimeona kama amemdhalilisha huyo dada??Maana halisi ya bajeti ni mpango wa mapato na matumizi aka ubahili - Big up!
Hahahah. Haya mkuu.Hapa stories tu kula kwenu
Yes. mjini hakuna cha bure.Kwa hiyo 'stori' inalipiwa?