Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

acha ubahili mwanamme ..looooh!!!
ungemlipia hio mia nne ungepasuka????
yani umemtolesha dada wa watu povu lote la whitedent
afu nauli humlipii , si bora angejikalia kimya...
umemtiaje mkosiii
 
Maana halisi ya bajeti ni mpango wa mapato na matumizi aka ubahili - Big up!
 
Maana halisi ya bajeti ni mpango wa mapato na matumizi aka ubahili - Big up!
Mkuu,mbona nimeona kama amemdhalilisha huyo dada??
Lakini pia alivyojibu huyo binti nae amefanya vibaya..
 
Brazah nakupa big up aisee!!!hawa Dada zetu wamezid imeandkwa wap kuwa ukikutana nae inatakiwa umlipie nauli ,dadadekiiiii hata mm nisingemlipia hapa min watu tunaish kwa mahesabu tu,kwa siku shilng kadhaa na kwa mwez had mwaka
 
Je na kama usingekutana naye kwenye daradara angeshindwa kujilipia nauli? Au aliota kuwa atakutana na wewe? Kila mtu anaishi kwa bajeti yake na pengine bajeti ndyo inayokamilisha ratiba za mtu hivyo hukuwa na kosa lolote waache hao wasioishi kwa bajeti walalamike
 
Kwa sababu ulikuwa na Buku Tu, basi aina noma.. Nxt time jifunze unapoenda mjini kuwa na pesa ya dharula...
 
Back
Top Bottom