Pole sana, nashindwa ni explain vipi maana tayari umeshafanya hivyo sijui uwezo wa huyo doctor
ila hilo eneo ni nyeti sana kuna mishipa ya fahamu ndio maana sio busara kugusagusa hilo eneo kizembe.
My story
Kabla sijajihusisha na tiba asili miaka mitano hivi iliyopita mimi jino langu lilitoboka katikati niliumwa sana
usiku (mid-night) mmoja nililia kinoma nadhani sijawai kuumwa hivyo wenye experience na hili watakubaliana
na mimi yani moja haikai na mbili haikai yani unalia na sauti haitoki mbaya sikua na dawa na kutuliza maumivu.
Asubuhi nilienda kwa wataalamu wa tiba asili wakanipa unga flani kweli ukatuliza maumivu kwa mda ila
yakawa yanarejea mara kwa mara ila tangu nigundue dawa ya hili sijang'oa wala sijaenda hospitali niko poa tu nakula hadi keki.
Dawa ninayo ni ya uhakika na wala usingekua na haja yakufanya hiyo root canal treat nikuzinguana tu.
Hii dawa yangu inatibu jino ililotoboka ,fizi, sore throat, mouth alcers na thyroid gland ambayo inaratibu kiasi cha calcium kwenye mifupa. Tena kwa ku goggle tu. Unaweza jiuliza vipi kwenye thyroid gland alafu kusukutua tu "Kwenye ulimi mwisho kuna kishimo kidogo kinachoshuka hadi kwenye thyroid gland kinaitwa Foramen cecum "This small, blind hole at the back of the tongue is a remnant of where the thyroid gland started to develop in the embryo, before it dropped down into the neck" hivyo hapo ndio dawa inapitia)
Kila kitu nacho jibu najibu kwa weledi mkubwa.
Kama unahitaji hii dawa nicheki hata kwa ushauri tu.